Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Tuesday, February 23, 2016
Anonymous
VIDEO: Msanii ALI KIBA Awashangaza Watu Kwa Hiki Alichokiongea na Kuzua Sintofahamu ya Nani Yupo Vizuri Kati Yake na DIAMOND
Msanii Alikiba akibonga kizungu ambacho kimewashangaza wengi. Hii imezua sintofahamu kubwa kutoka kwa mashabiki wa Diamond kwa kuona kumbe bora ya Diamond yupo vizuri zaidi ya King Kiba. Mcheki na msikilize katika video hii niliyokuwekea hapa;
Note: Only a member of this blog may post a comment.