Feb 17 2016, Mke wa Rais John Pombe Magufuli Janeth Magufuli alifunga safari na kuelekea katika shule ya msingi Mbuyuni, Dar. Hii ni shule ambayo Mama Magufuli alisoma kuanzia darasa la kwanza na baadae mwaka 1995 kurudi tena kufundisha hapohapo hadi ilipofika time ya kuwa First Lady.
Janeth Magufuli
Mama Janeth Magufuli akikabidhi zawadi kwa wanafunzi
Baadhi ya wanafunzi wakimsikiliza Mama Janeth Magufuli
Baadhi ya Walimu katika picha ya kumbukumbu na Mama Janeth Magufuli pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda
Janeth Magufuli akilia wakati wa kuagana na wanafunzi wake

Note: Only a member of this blog may post a comment.