Manchester United wameibuka kidedea kwa kuichapa Arsenal mabao 3-2
kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England iliyopigwa Uwanja wa Old Trafford.
Mabao ya Man U yamefungwa na Marcus Rashford aliyetupia mawili na Ander Herrera huku
Danny Welbeck na Mesut Ozil wakifunga mabao ya Arsenal.
Danny Welbeck na Mesut Ozil wakifunga mabao ya Arsenal.

Note: Only a member of this blog may post a comment.