Thursday, February 25, 2016

Anonymous

Mwanamuziki RIHANNA Noma Sana... Avunja Record Iliyowekwa na Marehemu Michael Jackson...

Rihanna ameivunja rekodi iliyowekwa na Michael Jackson kwakuwa msanii wa tatu aliyetoa nyimbo nyingi zilizoshika nafasi ya kwanza.
Single mpya ya muimbaji huyo mwenye miaka 28, Work aliyomshirikisha Drake, imekuwa ya 14 kukamata nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard Hot 100 na kumshinda Michael aliyekuwa na nyimbo 13. 
Rihanna bado yupo nyuma ya Mariah Carey, mwenye nyimbo 18 huku The Beatles wakishika rekodi ya dunia kwa kuwa na nyimbo 21.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.