Saturday, February 27, 2016

Anonymous

Kwa Kinachoendelea DAR Uchaguzi wa Meya na Figisu za Zanzibar Yanasikitisha... CCM Kunani?

Kwa kinachoendelea Dar Es Salaam na Zanzibar, ni wazi CCM kamwe haiko tayari kuachia chama chochote kiongoze nchi hii nasema hivyo kwasababu sehemu zote vyama vya upinzani vilikoshinda imekuwa ni kazi kubwa ccm kuruhu uchaguzi wa mameya ufanyike mbaya zaidi ni uchaguzi wa Zanzibar hovy hovyo eti hivyo ni ndoto kudhani ccm tutaitoa kwa sanduku la kura wapinzani tunze kufikili tofauti...jiji la Dar es salaam lina wajumbe 163 kati ya hao ccm ina 76 tu na ukawa 87 yaani watu 11 zaidi lakini CCM haitaki kukubali je? watakubali kuachia nchi bila damu kumwagika?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.