Thursday, February 25, 2016

Anonymous

Kutokana na Rekodi Hizi DIAMOND Anaweza Kuwa Ndio Msanii Mkubwa Zaidi Africa


Ile collabo kati ya diamond na A.k.a the super mega make me sing imefikisha viewers millioni moja na ushe youtube ndani ya siku kumi toka ilizinduliwa na kuweka rekodi mpya huku ikiziacha mbali nyingine zilizoachiwa kabla yake

Rekodi nyingine hii ndo imekuwa nyimbo ya kwanza kwa a.k.a kufikisha millioni moja viwers youtube ndani ya cku chache na kufanya kuchekwa na mashabiki wa casper nyovest pale alipopost ndani ya I.g kuonyesha fura  
Ingawa wabongo tunamuona huyu msanii ndo mkuubwa na kambeba Diamond...
hatujithamini ....
Diamond anaweza kuwa msanii mkubwa zaidi Africa kwa sasa
rekodi zake za you tube na instagram sioni mwanamuziki yeyote wa Africa akimkaribia

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.