Saturday, February 20, 2016

Anonymous

Kutana na Huyu Mtangazaji wa TV Nigeria Aliyemsifia Rais MAGUFULI Kwa Dakika 9 [+VIDEO]

Tuliyaona Magazeti mbalimbali ya Uarabuni, Australia, South Africa na nchi nyingine kadhaa yakisifia utendaji kazi wa raisi mpya wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli na sasa ni zamu ya huyu mtangazaji wa TV nchini Nigeria anaesema kwanini Rais Magufuli ni raisi bora wa Afrika kwa sasa. 

Kwenye hii video hapa chini Adeola Fayehun ameongelea utendaji wa Rais Magufuli kwa hisia na kutaka wengine wa Afrika waige mfano kwenye ishu mbalimbali alizozifanya ikiwemo kutembelea Muhimbili hospitali, kuondoa shamrashamra za siku ya uhuru na pesa zake kuzipeleka kwenye ujenzi wa barabara, kuondoa safari za nje kwa viongozi na mengine.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.