February 20 2016 ilichezwa hii mechi ya Yanga vs Simba uwanja wa taifa Dar es salaam ikiwa ni mechi ya ligi kuu ambapo Yanga walichukua ushindi wa 2-0,
ikiwa ni mara ya 31 Yanga kuishinda Simba toka timu hizi zianze
kukutana uwanjani… bonyeza play hapa chini uone magoli yote ya Yanga
leo.
ULIYAKOSA MAGOLI YA SIMBA VS STAND UNITED FEB 13 2016? TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Note: Only a member of this blog may post a comment.