Msanii Diamond ameamua kuwatolea uvivu watu wanaosema kuwa video yake mpya ya wimbo wa make me sing
alioshirikiana na rapper A.K.A kutoka Afrika kusini ameiga video ya Got money ya Lil wayne.
Aidha Diamond amethibitisha ule usemi wa hakuna jipya chini ya jua kwa kusema kuwa hakuna mtu yeyote atayefanya kitu kwenye muziki ambacho hakijafanyika.
“Watu wanashindwa kuelewa,kila kitu ambacho kinafanyika sasa hivi kwenye muziki kuanzia video,mashairi vyote vilishafanyika,vyote vilishaimbwa ,ni kama vinafanyika kwa marudio lakini kila mtu anarudia kwa namna yake anayoijua yeye,kwa sababu ukisema nakupen
da watu washaimba,sikupendi washaimba vyote yaani” alifunguka Diamond.
alioshirikiana na rapper A.K.A kutoka Afrika kusini ameiga video ya Got money ya Lil wayne.
Aidha Diamond amethibitisha ule usemi wa hakuna jipya chini ya jua kwa kusema kuwa hakuna mtu yeyote atayefanya kitu kwenye muziki ambacho hakijafanyika.
“Watu wanashindwa kuelewa,kila kitu ambacho kinafanyika sasa hivi kwenye muziki kuanzia video,mashairi vyote vilishafanyika,vyote vilishaimbwa ,ni kama vinafanyika kwa marudio lakini kila mtu anarudia kwa namna yake anayoijua yeye,kwa sababu ukisema nakupen

Note: Only a member of this blog may post a comment.