Picha ya Tukio Jingine
Jeshi la Polisi mkoa wa Kipolisi Tarime/Rorya limempa zawadi ya Laki tano Bi Sophia Manguye Mkazi wa kata ya Sirari wilaya ya Tarime mkoani Mara kwa ushujaa wake wa kupambana na Majambazi na kufanikiwa kuwanyang'anya silaha aina ya SMG.

Tukio hilo lilitokea wakati majambazi walipovamia duka lake usiku na kumkuta ndani ambapo aliwalia timings na kuwanyanganya bunduki na kufanikisha jambazi moja kukamatwa..
Note: Only a member of this blog may post a comment.