Thursday, December 3, 2015

Anonymous

RASMI: Prof. LIPUMBA na Wafuasi Wake 30 Waachiwa Huru na Mahakama Ya Kisutu Leo

Professor Ibrahim Lipumba alikuwa na kesi pamoja na wafuasi 30 wa CUF katika Mahakama ya Kisutu Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka ya kufanya mkusanyiko bila ya kuwa na kibali cha Polisi.
Kesi hiyo imefutwa rasmi leo  baada  ya DPP kuileleza mahakama kuwa hana nia tena ya kuendelea na kesi hiyo.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.