Wednesday, December 2, 2015

Anonymous

MAAJABU: Binti Mmoja Afariki Dunia Baada ya Kula Mchanga wa Kaburini Baada ya Kuambiwa na Mhubiri

KENYA: Binti mmoja amefariki dunia baada ya kula mchanga wa kaburi
Mhubiri alimshauri ale mchanga huo kwa madai kuwa ana mizimu
Inasemekana baada ya kunyweshwa dawa, ndivyo hali ya afya ya msichana huyo ilivyozidi kuwa mbaya hadi akapoteza fahamu.
Hata hivyo mhubiri mwenyewe amejitetea akisema huenda ilitokana na familia ya marehemu kutokuwa na Imani na maombi yake ya uponyaji.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.