Wednesday, December 2, 2015

Anonymous

KIMENUKA! Wafanyakazi wa TRA Geti No. 5 Waswekwa Ndani Leo Jumatano

Upelelezi ukiwa bado unaendelea kufuatia ufisadi wa kupitishwa kwa makontena takribani 350 bandarini bila kulipia ushuru. Leo jeshi la polisi limewakamata wafanyakazi wa TRA ambao ndio wanahusika na upitishaji wa makontena pale bandarini. Taarifa za awali zinasema idadi ya wafanyakazi hao walioswekwa ndani inakadiriwa kuwa ni 27.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.