Tuko mwezi December na tunaelekea kuumaliza mwaka 2015, ni
 vitu vingi sana ambavyo vitakua vimetunzwa kwenye kumbukumbu za mataifa
 mbalimbali duniani, na hii video hapa chini ni moja ya kumbukumbu 
zenyewe.. ikitukumbusha kwamba unaweza kufata sheria zote barabarani 
lakini ukapata ajali kutokana na kosa au uzembe wa dereva mwingine.
 

 
 
 
 
Note: Only a member of this blog may post a comment.