Mwandishi wetu
Utendaji wa Rais John Magufuli
ni noma na umekuwa ukifagiliwa kila kona. Hii siyo kwa Tanzania tu bali
hata sehemu nyingine duniani.
Hilo linashibishwa na sentensi fupi
aliyoitoa mrembo kutoka Kenya, Sheila Mwanyiga ambaye ni mwanamuki
aliyewahi kuwa mtangazaji wa kituo cha Televisheni cha NTV aliyeandika
kupitia ukurasa wake wa Twitter akionesha kuwa, anaukubali utendaji wa
rais huyo wa wamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Note: Only a member of this blog may post a comment.