Friday, December 4, 2015

Anonymous

Breaking News: Gari la Mwananchi Lapata Ajali Mbaya Mlima Kitonga...Watu Wote Inasadikika Wamefariki

ajali
Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba Gari iliyokuwa imebeba Magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti kwenda mkoani Mbeya imepata ajali eneo la Kitonga leo alfajiri na inasadikiwa watu wote waliokuwemo ndani ya gari hiyo wamefariki.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.