Tuesday, December 8, 2015

Anonymous

Dakika 8 Kwenye Video ya CCM Wakiongelea Kasi ya Rais MAGUFULI…(+VIDEO)

Baada ya jana Dec 7, 2015 kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kufanya kikao na Mwenyekiti wake Rais mstaafu Jakaya Kikwete, leo Katibu mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amefanya mkutano na waandishi wa habari na haya ndiyo makubwa aliyozungumza. 
-via millardayo

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.