Inawezekana siku yako haijawa poa sana
leo, basi chukua time hii kuirejesha furaha kwa kucheka na vituko vya
mchekeshaji kutokea Uganda Anne Kansiime.
Uwezo mkubwa alionao Kansiime katika uchekeshaji ndio unaochangia kujikusanyia mashabiki katika kona mbalimbali za dunia, Hii ni moja ya kazi zake waweza kuitazama na ukafurahia muda wako..
Note: Only a member of this blog may post a comment.