Takribani watu 18 wamepoteza maisha huku wengine kadhaa wakijeruhiwa
baada ya treni ya abiria kugongana na basi huko Jakarta nchini
Indonesia.
Dereva wa basi ni miongoni mwa watu waliopoteza maisha katika ajali
hiyo iliyotokea leo asubuhi katika makutano ya barabara na reli huko
magharibi mwa mji wa Jakarta.
Note: Only a member of this blog may post a comment.