Ameandika Maneno haya Kwenye Ukurasa wake wa Facebook:
Hata Nyerere hakuwahi kujaribu kuleta Spika wake au Naibu Spika wake
mfukoni. Alipomteua Chief Adam Sapi Mkwawa kuwa Waziri alifanyiwa
rebellion na wabunge ( wakati wa chama kimoja) akamrudisha mpaka
alipostaafu tena kwa kumtungia sheria ya ustaafu ( wakati wa Mwinyi) .
Unapoona Rais anajaribu ku impose Kiongozi wa Bunge anayemtaka mjue huko
mbele Bunge litafanywa kibogoyo. Kwa mfano, hakuna Naibu Spika yeyote
katika nchi hii ambaye hakuwahi kuwa Mbunge wa Jimbo. Nawakumbusha tu
kwamba; Bunge huendeshwa kwa kutumia Katiba, Sheria, Kanuni na DESTURI
au maamuzi yaliyokwishafanywa. Underline DESTURI" Zitto Kabwe
Note: Only a member of this blog may post a comment.