Waziri Mkuu Mteule wa Awamu ya Tano wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa ameshinda
kwa kura za ndiyo 258 sawa na asilimia 73.5 ya kura zote zilizopigwa na
wabunge leo, wakati kura za hapana zikiwa 91, sawa na asilimia 25.9.
Kassim Majaliwa alizaliwa Desemba 22, 1960 na ana umri wa miaka 54.
Ni Mbunge wa Jimbo la Ruangwa mkoani
Lindi kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na alikuwa Naibu Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(Tamisemi).
WASIFU WAKE:Elimu | ||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||
Uzoefu | ||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||||||||||
Burudani | ||||||||||||||||||||||||||||||||||
|
Note: Only a member of this blog may post a comment.