Rais Dkt Magufuli aliahidi kuwa katika serikali yake mtumishi akiharibu hatohamishwa, badala yake atasimamishwa kazi mara moja na uchunguzi kufanyika dhidi yake endapo kuna haja ya kufanya hivyo. Hili amelisimamia kwa vitendo baada ya kutengua agizo la waziri mkuu la kuwahamisha wafanyakazi wa TRA walio haribu pale bandari na kuagiza wahamishwe mikoani siku ya jana.
Source: ITV Tanzania
Source: ITV Tanzania
Note: Only a member of this blog may post a comment.