Monday, November 2, 2015

Anonymous

PICHAZ: [INATISHA SANA] MABAKI YA NDEGE YA URUSI BAADA YA KUANGUKA SINAI, MISRI

Wachunguzi wakiwa eneo la tukio wakiangalia mabaki ya Ndege ya Shirika la Kogalymavia la Urusi, Airbus A-321 iliyoanguka eneo la Sinai nchini Misri ilikuwa na abiria 200, watoto 17 na wafanyakazi wa ndege hiyo 7.
Mabaki ya Ndege aina ya Airbus A-321 iliyoanguka siku ya Jumamosi ikitokea Mji wa Sharm el-Sheikh ikielekea mji wa St. Petersburg nchini Urusi.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.