Monday, November 2, 2015

Anonymous

RAIS KIKWETE AMTEUA KATIBU TAWALA


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Ndugu Ramadhan Kaswa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Lindi kuanzia Oktoba 30, mwaka huu, 2015.
Kabla ya uteuzi wake, Ndugu Kaswa alikuwa Katibu Tawala wa Mkoa Msaidizi, Mkoa wa Tanga. 

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, DAR ES SALAAM. 2 Novemba, 2015

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.