Kamati
Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo imemteua aliyekuwa naibu Spika wa
Bunge la 10 Job Ndugai, kuwa mwakilishi wa chama hicho atakayegombea
nafasi ya uspika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye
atapigiwa kura na wabunge wa hapo kesho kuwania nafasi hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa ya chama hicho iliyotolewa na Dodoma kupitia Katibu wa Itikadi na Unezi, Nape Nauye, amesema Dkt. Tulia Mwansasu na Mbunge wa Afrika Mashariki, Abdulla Ally Mwinyi waliamua kujitoa katika nafasi hiyo hivyo kumpa nafasi Job Ndugai kupita bila kupingwa.

Note: Only a member of this blog may post a comment.