Wednesday, November 11, 2015

Anonymous

Matokeo ya Kura za Maoni Jimboni Kwa Marehemu DEO FILIKUNJOMBE...Masanja MKANDAMIZAJI Hali Tete!


Deo Ngalawa kura 537, 
Philip Filikunjombe 501,
Mpangala Mpangala kura 3,
Emmanuel Mgaya "Masanja Mkandamizaji"kura 19,
James Mgaya kura 72, 
Dr Evaristo Mtitu 21,
Zephania Chaula kura 38,
Zilizoharibika 2.
Sasa Deo Ngalawa pichani kuvaa kiatu cha aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Ludewa mkoani Njombe Deo Filikunjombe(CCM) aliyefariki kwa ajali ya helkopita siku chache kabla ya uchaguzi Tanzania 2015

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.