Wakizungumza kwa masikitiko wananchi hao wametupia lawama serikali kushindwa kuwasimamia watengeneza barabara ambao wamesababisha kujaa michanga katika mifereji kisha maji kukosa muelekeo na kujaa katika makazi ya watu.
Monday, November 2, 2015
MAFURIKO! Kaya 30 Morogoro Mjini Hazina Mahala Pa Kuishi Baada ya Mvua Kubwa Kunyesha
Wakizungumza kwa masikitiko wananchi hao wametupia lawama serikali kushindwa kuwasimamia watengeneza barabara ambao wamesababisha kujaa michanga katika mifereji kisha maji kukosa muelekeo na kujaa katika makazi ya watu.

Note: Only a member of this blog may post a comment.