LIVE Updates From Dodoma: CHENGE Ateuliwa Kuwa Mwenyekiti wa Uchaguzi wa Spika Bungeni!
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Thomas Kashilila asubuhi hii amemteua Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge kuwa Mwenyekiti wa uchaguzi wa Spika wa Bunge unaofanyika leo bungeni.
Endelea kufuatilia yanayojiri zaidi hapa...
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.