Thursday, November 26, 2015

Anonymous

Hizi Ndio Rekodi 4 za Nguvu Alizoweka Rais MAGUFULI Siku ya Alhamisi.. (+Audio)

Hapa nakuchambulia mdogomdogo mtu wangu, mwanzo mpaka mwisho wa rekodi zenyewe.
1:>> Rais Magufuli alizaliwa October 29 1959, ilikuwa ni siku ya alhamisi.
2:>> October 29 2015 ni siku ambayo alitangazwa kuwa Rais wa Tanzania… ilikuwa alhamisi pia.
3:>> Siku ya alhamisi November 05 2015 Rais Magufuli aliapishwa kushika wadhifa wa Urais wa Tanzania, Ikulu Dar es Salaam.
4:>> November 19 2015, Rais Magufuli alimteua Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.
Stori yote hii hapa mtu wangu kutoka #CloudsTvHabari

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.