Sunday, November 15, 2015

Anonymous

HALIMA MDEE Atoa Kauli Nzito Kuhusu Mauaji wa Mwenyekiti wa CHADEMA Geita Aliyeuawa Kwa Ajili ya Siasa

Watu Mbali mbali Wameguswa na Kifo cha Kamanda wa Chadema Mawazo Ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Geita...
Hapa chini Nimekuwekea ujumbe kutoka kwa Halima Mdee aliondika mtandaoni:
 
"Ameuwawa Kwa Sababu tu ya Uchaguzi wa Kata!!! Damu yake Haitapotea BURE!!! Ipo siku, Wanyonge Watanyanyuka" Halima James Mdee

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.