NYUMBA moja imeteketea baada ya kuungua kwa moto katika mtaa wa Tabora, Ilalal jijini Dar es Salaam leo mchana.
Nyumba hiyo imeteketea ikiwa ni pamoja na vitu vilivyokuwemo ndani ambavyo thamani yake bado haijafahamika.
Gari la Zima moto liliwasili eneo hilo
na kusaidia kuzima moto huo japo tayari nyumba ilikuwa
imekwishateketea. Aidha chanzo cha moto huo hakijafahamika.
Note: Only a member of this blog may post a comment.