Hatimaye Yule Mshindi wa shindano la Trace Music Stars Africa, mtanzania Nalimi Mayunga ameshawasili nchini Marekani kwaajili ya kufanya collabo na msanii mkubwa wa kimataifa Akon.
Nikukumbushe tu kuwa Mayunga aliziandika headlines kwenye kurasa za Bongo Fleva baada ya kushinda shindano hilo kubwa la kusaka vipaji, ambapo alijipatia donge nono la mkataba wa kurekodi na Universal Studio wenye thamani ya dola 500,000.
Hapa tayari nimekusogezea video ikimuonesha mshindi wetu akiwa nyumbani kwa Akon tayari kwa maandalizi ya shughuli nzima iliyompeleka>>>
Note: Only a member of this blog may post a comment.