DK. MAGUFULI AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Hatimaye aliyekuwa Rais Mteule Dk.
John Pombe Magufuli ameapishwa rasmi kuwa rais wa awamu ya tano wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivi sasa katika sherehe zinazoendelea
kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.