Staa wa Nigeria Davido amekutana na janga weekend iliyopita baada ya
kuvamiwa mitaa ya Sandton, jijini Johannesburg , Afrika Kusini na
kuporwa $55,000 sawa na zaidi ya shilingi milioni 118.
Baada ya tukio hilo Davido amesimulia kilichotokea kupitia Twitter.
Amesema kuwa mbali na pesa hizo pia wamechukua saa mbili aina ya
Rolex. Davido na meneja wake walikutwa na janga hilo wakiwa njiani
wakirejea hotelini . Hata hivyo hakuna yeyote aliyejeruhiwa.
Thank
God for my life…. If not for him.. E for be different story … My
daughters face was flashing through my eyes the whole time….
— Davido (@iam_Davido) November 13, 2015
Dem niggas got me for 55 thousand dollars cash !! Crazy!!!
— Davido (@iam_Davido) November 13, 2015
And 2 rolexes !! FICK
— Davido (@iam_Davido) November 13, 2015
Right in the middle of sandton
— Davido (@iam_Davido) November 13, 2015
Never traveling without my gang again!!!!
— Davido (@iam_Davido) November 13, 2015
I'll never go another morning without praying …
— Davido (@iam_Davido) November 14, 2015
Still got love for South Africa …. ❤️
— Davido (@iam_Davido) November 13, 2015
Kuonesha kuwa licha ya kuibiwa kiasi hicho cha pesa lakini bado yuko
vizuri , Davido alipost mabunda mengine ya dola kupitia Snapchat na
kuandika “Still good! F*CK N*GGA!”
Note: Only a member of this blog may post a comment.