Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayekipiga katika klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo usiku wa November 9 alifanya uzinduzi rasmi wa movie yake ambayo anataja kuiandaa kwa ajili ya mashabiki wake, Ronaldo kafanya uzinduzi movie yake inayoitwa ‘Ronaldo’ akiwa pamoja na mama yake na mtoto wake Cristiano Ronaldo Junior.
Ronaldo akiwa na mtoto wake Cristiano Ronaldo Junior mwenye umri wa miaka mitano.
Uzinduzi huo uliyofanywa Leicester Square katika jiji la London Uingereza ulihudhuriwa na makocha wa zamani wa staa huyo ambao ni Sir Alex Ferguson, Jose Mourinho na Carlo Ancelotti sambamba na uwepo wa wakala wake Jorges Mendes na mastaa wengine wengi.
Ronaldo akiwa na kocha wake wa zamani wa Man United Sir Alex Ferguson aliyekuwepo katika uzinduzi huo.
Movie hiyo ambayo imechezwa kwa zaidi ya miezi 14 kwa asilimia kubwa inahusisha maisha halisi ya staa huyo ambaye alianzia maisha yake soka katika klabu ya Sporting Lisbon ya kwa Ureno, Ronaldo amefanya uzinduzi huo sambamba na kufanya interview fupi katika red carpet.
Cristiano Ronaldo akiwa na mama yake Maria Dolores Aveiro na mtoto wake katika red carpet
Hii ni sehemu ya interview ya Ronaldo katika uzinduzi huo
“Wakati nilipowasiliana na watu kutokaUniversal kuhusu movie walipanga kufanya movie hii kwa siku kama tatu, ila najisikia vizuri kufanya kazi na director Anthony na Paul, katika movie hiyo utapata nafasi ya kuona vitu vyangu vingi binafsi na nimefurahia kufanya movie, nafikiria itakuwa na mrejesho mzuri kwangu ila kwa watu wanaonifahamu hawatoshangazwa na hii, ila mimi nimefanya kwa ajili ya mashabiki ambao wamekuwa na mimi katika shida na raha”>>> Ronaldo

Ronaldo, Carlo Ancelotti na Jorges Mendes

Jose Mourinho

Radamel Falcao na mke wake Lorelei Taron

Ronaldo akikabidhiwa tuzo ya kuwa mtu anayeongoza kwa kupata like nyingi zaidi duniani katika mtandao wa facebook

Gary Neville alikuwepo pia mtu wangu

Ronaldo na mtoto wake
Ronaldo, Carlo Ancelotti na Jorges Mendes
Jose Mourinho
Radamel Falcao na mke wake Lorelei Taron
Ronaldo akikabidhiwa tuzo ya kuwa mtu anayeongoza kwa kupata like nyingi zaidi duniani katika mtandao wa facebook
Gary Neville alikuwepo pia mtu wangu
Ronaldo na mtoto wake

Note: Only a member of this blog may post a comment.