Tuesday, November 17, 2015

Anonymous

Breaking News: Huyu Ndiye Spika wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania


BREAKING NEWS: NDUGAI AIBUKA MSHINDI SPIKA WA BUNGE
 
Job Ndugai ameibuka mshindi wa kiti cha Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kupata asilimia 70 ya kura zote.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.