Tuesday, November 17, 2015

Anonymous

LIVE Updates Dodoma: Wabunge Wapiga Kura kKmchagua Spika wa Bunge

bunge (1)
WABUNGE wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo asubuhi wamepiga kura kumchagua spika wa kuliongoza Bunge la 11 mjini Dodoma.
Majina ya wagombea nane (8) ndiyo yaliyopelekwaa kwa Katibu wa Bunge Dk. Thomas Kashilila.
ambayo ni:
-Peter Sarungi (AFP)
-Hassan Kisabiya (N.R.A)
-Dkt Godfrey Malisa (CCK)
-Job Ndugai (CCM)
– Goodluck Ole Medeye (CHADEMA)
-Richard Lymo (T.L.P)
-Hashimu Rungwe (CHAUMA)
-Robert Kisinini (DP)
Kati ya wagombea hao nane, mgombea mmoja ndugu Hashimu Rungwe (CHAUMA) ameshindwa kuhudhuria bungeni na kufanya idadi ya wagombea walioomba kura kuwa saba tu.

Endelea kufuatilia zaidi hapa

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.