Gari la Serikali limekamatwa mkoani Njombe likidaiwa kuwa na kura FEKI Zilizizopigwa kwa ajili ya mgombea urais wa CCM
Gari lililokamatwa ni la Tanroads, na limekamatwa leo asubuhi.Walipokamatwa walijitetea kuwa walikuwa wamebeba t shirt za Magufuli.

Baada ya Upekuzi kufanyika, chini ya shinikizo la wananchi, gari hilo lilikutwa na kura ambazo tayari zimepigwa kumchagua Magufuli.
Taarifa hii Imethibitishwa na James Mbataia, Mwenyekiti mwenza wa Ukawa.
Mtandaowako huu wa kandiliyetu.com unaendelea kufuatilia taarifa rasmi ya serikali, tunaahidi kuwawekea hapa pindi tu itakapopatikana
Tazama Video ya tukio hilo hapa

Note: Only a member of this blog may post a comment.