Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Thursday, October 22, 2015
Anonymous
VIDEO: Mama Maria Nyerere Ampigia Kampeni Dr. Magufuli
Oktoba 20 Mke wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere alifanya mahojiano na waandishi wa habari nyumbani kwake Butiama Mara. Hii video hapa chini ni sehemu ya mahojiano ambayo ina ujumbe wake kwa Watanzania wote ifikapo Oktoba 25, siku ya kupiga kura kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani.
Note: Only a member of this blog may post a comment.