Video Queen Tunda Sabasita hivi
karibuni ameweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi na mwanamuziki David
Genze ‘Young D’ ambapo amesema Mungu akipenda ndoa yao itafungwa soon.
Akiongea
na Ijumaa, Tunda alisema kuwa ni kweli yuko katika kisiwa cha mapenzi
na mwanamuziki huyo na kuweka wazi hisia zake kuwa anampenda sana na
kumthamini tofauti na watu wanavyo muongelea.
“Ni kweli niko na D na ninampenda sana,
Mungu akipenda tutakuwa mwili mmoja soon kwa sababu nimempima na kuona
ndio mwanaume mwenye nafasi kubwa kwenye moyo wangu,”alisema Tunda.

Note: Only a member of this blog may post a comment.