Mbunge aliyemaliza muda wake lakini anagombea tena Joseph Mbilinyi
Matokeo ya Ubunge Mbeya Mjini yatatangazwa leo jioni saa kumi na moja lakini matokeo ya udiwani Mbeya Mjini Chama Cha Chadema kimepata kata 26 huku CCM imepata kata 8 na kata 1 imeahirishwa kufanyika uchaguzi kutokana na mgombea kufariki dunia #Yanayojiri
Endelea kufuatilia hapa kandiliyetu.com kwa updates zote muhimu za uchaguzi mkuu na matukio mbalimbali kama bado hauja-like page yetu ya facebook bonyeza hapa
Endelea kufuatilia hapa kandiliyetu.com kwa updates zote muhimu za uchaguzi mkuu na matukio mbalimbali kama bado hauja-like page yetu ya facebook bonyeza hapa

Note: Only a member of this blog may post a comment.