Muonekano wa Gari ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Nape NNAUYE Baada ya Kupata Ajali Mbaya Jana Usiku!
Muonekano wa gari ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye, Toyota Land Cruiser baada ya kupata ajali mbaya jana usiku akiwa njiani kuelekea Lindi akitokea jijini Dar es salaam.
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
on Thursday, October 22, 2015
Note: Only a member of this blog may post a comment.