MREMBO
kunako filamu Nollywood, Susan Peter hivi karibuni alifanya bonge la
sherehe baada ya kuolewa na tajiri wa Kizungu kutoka nchini Uholanzi
ajulikanaye kwa jina moja la Koen.
Staa huyo alifunga ndoa ya kiserikali pande za Ikoyi ambapo mastaa
kibao walimpa sapoti katika sherehe yake hiyo akiwemo Desmond Elliot
aliyempongeza mrembo huyo kwa kuingia kwenye maisha ya ndoa.

Note: Only a member of this blog may post a comment.