Monday, October 26, 2015

Anonymous

MATOKEO ya Awali Ya Uraisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kujulikana LEO Saa Nne Asubuhi

Watanzania wametakiwa kuwa wavumilivu na wenye utulivu wakati Tume ya Taifa ya Uchaguzi ikiendelea na zoezi la uhesabuji wa kura ili kupata matokeo ya uraisi kutokana na idadi halali za kura.

Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani amesema kuwa matokeo ya Raisi awamu ya kwanza yataanza kutangazwa LEO Jumatatu saa 4 asubuhi, saa 7 mchana na saa 10 jioni.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.