Matokeo Rasmi Jimbo la Musoma Vijijini Kwa Prof. Sospeter MUHONGO wa CCM Haya Hapa
Jimbo la Musoma vijijini: Prof. Sospeter Muhongo wa CCM, ameshinda kwa jumla ya kura 41731 dhidi ya mpinzani wake wa karibu Zakaria Mbura, aliyepata kura wa Chadema, aliyepata kura 24984
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Note: Only a member of this blog may post a comment.