Tuesday, October 27, 2015

Anonymous

Matokeo Rasmi Jimbo la Iringa Mjini Kwa Mchungaji Peter MSIGWA wa CHADEMA Haya Hapa

Jimbo la Iringa Mjini: Mchungaji Peter Msigwa pichani wa Chadema, ameshinda kwa jumla ya kura 43184 dhidi ya mpinzani wake wakaribu Fredrick Mwakalebela wa CCM, aliyepata kura 32406

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.