Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Tuesday, October 20, 2015
Anonymous
MAJONZI TELE: Safari ya Mwisho ya Mwenyekiti wa UKAWA Katika Viwanja Vya Karimjee....Dr. MAKAIDI Amezikwa Katika Makaburi ya Sinza, Dar Es Salam
Baadhi ya matukio ya picha katika ibada ya kuuaga mwili wa marehemu Dkt Emmanuel Makaidi, Mwenyekiti mwenza wa UKAWA, katika viwanja vya Karimjee, posta, jijini Dar Es Salaam.Dr. Makaidi Amezikwa katika Makaburi ya Sinza, Dar Es Salam
Note: Only a member of this blog may post a comment.