Tuesday, October 20, 2015

Anonymous

KIMENUKA: Kuhusu Madereva wa Malori Kufunga Barabara ya Morogoro Baada ya Mwenzao Kupigwa Risasi


Madereva wa magari makubwa aina ya Lori wafunga Barabara ya Morogoro baada ya mwenzao kupigwa risasi na Bosi wake-Yadaiwa dereva alikula njama kuiba mafuta kisha kutaka kulichoma gari.abari za asubuh hii zinasema Madereva wa Malori wameamua kuacha Magari yao njiani, ni baada ya mwenzao kukwatuliwa Risas Bandarini jana, Magari hayatembei kabisa toka Kibaha kuja Ubungo.Kamanda wa Polisi wa mkoa wa kipolisi Kinondoni, Camillius Wambura,ameithibitisha kupokea taarifa za mgomo huo na kwamba anafuatilia ili kujua kama taarifa hizo zina ukweli kiasi gani. Atatoa taarifa kamili baada ya muda

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.