Monday, October 19, 2015

Anonymous

LOWASSA Atua Kwa Kishindo Tunduma Baada Ya Mitambo Kukorofisha Juzi...Tazama PICHA za Mafuriko Yake Hapa!

Edward Ngoyai Lowassa na Mhe. Freeman Mbowe wakiongea na wanaanchi wa Tunduma,Jumatatu 19/10/2015 katika viwanja vya shule ya msingi Tunduma.

Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiwasili katika viwanja shule ya msingi Tunduma kwa ajili ya mkutano wa kampeni huku akiongozana na viongozi wengine wa CHADEMA na UKAWA,akiwemo mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Kingunge Ngombale Mwiru,Jumatatu 19/10/2015

Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe. Freeman Mbowe akiongea na wananchi wa Tunduma,Jumatatu 19/10/2015 katika viwanja vya shule ya msingi Tunduma



Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Tunduma katika mjini wa Tunduma mkoani Mbeya


USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.