Monday, October 26, 2015

Anonymous

Kauli ya Kwanza ya Ester BULAYA Baada ya Kumngo'a Mzee WASSIRA Ubunge Jimbo la Bunda


Hakuna kisichowezekana chini ya jua, asante wanabunda,kwakuniamini, hatimaye ameng'oka.mungu wangu asante kwa kunisiimamia. Nimeshinda nasubiri kutangaza rasmi.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.